Friday, 22 July 2016

Habari Njema Kwa Mashabiki wa ARSENAL

Alfajiri ya July 12 2016 ikiwa ni siku moja imepita toka michuano ya Euro 2016 imalizike, vilabu mbalimbali vya soka barani Ulaya vimerudi kwa kasi katika mbio za kuwania wachezaji nyota ili waboreshe vikosi vyao, Arsenal imeripotiwa na mtandao wa Di Marzio kurudi tena katika mbio za kumuwania mshambuliaji Gonzalo Higuan.